Tomtop >   thl     >

Kila Mototo/Mwanafunzi ana akili(genius) na uwezo mkubwa wa kuelewa MASOMO,   

Kila Mototo/Mwanafunzi ana akili(genius) na uwezo mkubwa wa kuelewa MASOMO, LAKINI TUNAYO CHANGAMOTO watoto/wanafunzi kutotambua wana uwezo huu
Kila Mototo/Mwanafunzi ana akili(genius) na uwezo mkubwa wa kuelewa MASOMO, LAKINI TUNAYO CHANGAMOTO watoto/wanafunzi kutotambua wana uwezo huu

Mwanafunzi anapofundishwa darasani anapaswa: 1. Kumsikiliza Mwalimu, 2. Kuuliza maswali kama kuna mahali hajaelewa, 3. Kujadili mada na wenzake pale inapobidi, 4. Kufanya Revision, 5. Kufanya mazoezi ya kutosha kwa kila somo ILI kupima uelewa, Kusaidia kuhifadhi kumbukumbu NA KUMPA UZOEFU WA MASWALI YA MITIHANI. Tunawashauri Waalimu na Wanafunzi tumieni tHL app, ina Maswali maelfu ya wanafunzi kujipina na humsahihishia mwanafunzi yenyewe. Pia ina Masomo ya ziada na Videos za Practicals na Masomo yote ya Secondary na Primary. Jinsi ya ku-install tHL app: Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. AU Kwa computer download hapa Maelekezo zaidi Contacts 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038.
Jacob Noel Urasa - Mwanzilishi wa tHL
ONE LOVE 展开

Published Date:7/1/2018 5:12:24 PM    From:Facebook   

Click to see thl's products of TomTop。Relevant Brands:
#THL Smartphones    #thl    
Tomtop | andoer | LEMFO | anet a8 | Roborock S50| xiaomi m365 | MXQ PRO | Bugs 5W | isteady pro | hubsan h501s x4 | Anet A6 | dobby drone| anet a8 3d printer review| trumpy bear| amazfit bip| populele| SONOFF| Creality Ender-3| homekit| JJPRO X5| LEMFO LEM7| Vernee T3 Pro| Anet| ILIFE V7s| koogeek| DJI Mavic Air| Hubsan Drone| Wltoys| Feiyu| Zeblaze| hubsan h501s| lixada| hohem gimbal